Skip to content

Commit

Permalink
Merge pull request #1906 from compdemocracy/te-translations-sw
Browse files Browse the repository at this point in the history
add swahili
  • Loading branch information
tevko authored Feb 8, 2025
2 parents 8d0a721 + 7b7fec5 commit 5efa8fc
Show file tree
Hide file tree
Showing 4 changed files with 212 additions and 0 deletions.
4 changes: 4 additions & 0 deletions client-participation/js/strings.js
Original file line number Diff line number Diff line change
Expand Up @@ -45,6 +45,8 @@ var translations = {
ru: require("./strings/ru.js"),
// Slovak
sk: require("./strings/sk.js"),
// Swahili
sw: require("./strings/sw.js"),
// Tamil
ta: require("./strings/ta.js"),
// Tetum (Timor)
Expand Down Expand Up @@ -135,6 +137,8 @@ preloadHelper.acceptLanguagePromise.then(function() {
_.extend(strings, translations.ta);
} else if (languageCode.match(/^tdt/)) {
_.extend(strings, translations.tdt);
} else if (languageCode.match(/^sw/)) {
_.extend(strings, translations.sw);
} else if (languageCode.match(/^vi/)) {
_.extend(strings, translations.vi);
}
Expand Down
203 changes: 203 additions & 0 deletions client-participation/js/strings/sw.js
Original file line number Diff line number Diff line change
@@ -0,0 +1,203 @@
// Copyright (C) 2012-present, The Authors. This program is free software: you can redistribute it and/or modify it under the terms of the GNU Affero General Public License, version 3, as published by the Free Software Foundation. This program is distributed in the hope that it will be useful, but WITHOUT ANY WARRANTY; without even the implied warranty of MERCHANTABILITY or FITNESS FOR A PARTICULAR PURPOSE. See the GNU Affero General Public License for more details. You should have received a copy of the GNU Affero General Public License along with this program. If not, see <http://www.gnu.org/licenses/>.

var s = {};

// Maandishi yaliyo kwenye kadi

s.participantHelpWelcomeText =
"Karibu kwenye aina mpya ya mazungumzo - <em>pigia kura</em> kauli za watu wengine - itakuwa bora zaidi kura zikiwa nyingi.";

s.agree = "Kubali";
s.disagree = "Kataa";
s.pass = "Puuza au Sina Uhakika";

s.writePrompt ="Eleza mtazamo wako (kauli unayoweka si jibu — tuma kauli inayojitegemea)";
s.anonPerson = "Haionyeshi utambulisho";
s.importantCheckbox = "Muhimu";
s.importantCheckboxDesc =
"Teua kisanduku hiki ikiwa unaamini kuwa kauli hii ni muhimu hasa kwako au inafaa zaidi katika mazungumzo, bila kujali kura yako. Kuteua kutaipa kauli hii kipaumbele cha juu sana ikilinganishwa na kura zako nyingine kwenye uchanganuzi wa mazungumzo.";

s.howImportantPrompt = "Je, kauli hii ni muhimu kwa kiasi gani?";
s.howImportantLow = "Cha chini";
s.howImportantMedium = "Wastani";
s.howImportantHigh = "Cha juu";

s.modSpam = "Taka";
s.modOffTopic = "Nje ya Mada";
s.modImportant = "Muhimu";
s.modSubmitInitialState = "Ruka (Zote zilizo hapo juu si muhimu), kauli inayofuata";
s.modSubmit = "Nimemaliza, kauli inayofuata";

s.x_wrote = "ameandika:";
s.x_tweeted = "amechapisha:";
s.comments_remaining = "{{num_comments}} zimesalia";
s.comments_remaining2 = "{{num_comments}} kauli zilizosalia";

// Maandishi kuhusu kugawanya

s.noCommentsYet = "Bado hakuna kauli zozote.";
s.noCommentsYetSoWrite = "Anzisha mazungumzo haya kwa kuweka kauli.";
s.noCommentsYetSoInvite =
"Anzisha mazungumzo haya kwa kuwaalika washiriki wengine au uweke kauli.";
s.noCommentsYouVotedOnAll = "Umepigia kura kauli zote.";
s.noCommentsTryWritingOne =
"Ikiwa una chochote cha kuweka, jaribu kuandika kauli yako.";
s.convIsClosed = "Mazungumzo haya yamekamilika.";
s.noMoreVotingAllowed = "Haturuhusu kupiga kura tena.";

// Kwa picha iliyo hapa chini

s.group_123 = "Kikundi:";
s.comment_123 = "Kauli:";
s.majorityOpinion = "Maoni ya Wengi";
s.majorityOpinionShort = "Wengi";
s.info = "Maelezo";


s.helpWhatAmISeeingTitle = "Je, ninaona nini?";
s.helpWhatAmISeeing =
"Unawakilishwa na mduara wa buluu na umewekwa kwenye kikundi pamoja na watu walio na mtazamo kama wako.";
s.heresHowGroupVoted = "Hivi ndivyo Kikundi cha {{GROUP_NUMBER}} kilivyopiga kura:";
s.one_person = "mtu {{x}} ";
s.x_people = "watu {{x}} ";
s.acrossAllPtpts = "Kwa washiriki wote:";
s.xPtptsSawThisComment = " waliona kauli hii;";
s.xOfThoseAgreed = "kati ya washiriki hao wamekubali";
s.xOfthoseDisagreed = "kati ya washiriki hao wamekataa";
s.opinionGroups = "Vikundi vya Maoni";
s.topComments = "Kauli Maarufu";
s.divisiveComments = "Kauli Zilizogawa Washiriki";
s.pctAgreed = "{{pct}}% Wamekubali";
s.pctDisagreed = "{{pct}}% Wamekataa";
s.pctAgreedLong =
"Asilimia {{pct}} ya watu waliopigia kura kauli ya {{comment_id}} wamekubali.";
s.pctAgreedOfGroup = "Asilimia {{pct}} ya Kikundi cha {{group}} Wamekubali";
s.pctDisagreedOfGroup = "Asilimia {{pct}} ya Kikundi cha {{group}} Wamekataa";
s.pctDisagreedLong =
"Asilimia {{pct}}% ya watu waliopigia kura kauli ya {{comment_id}} wamekataa";
s.pctAgreedOfGroupLong =
"Asilimia {{pct}} ya walio kwenye kikundi cha {{group}} waliopigia kura kauli ya {{comment_id}} wamekubali.";
s.pctDisagreedOfGroupLong =
"Asilimia {{pct}} ya walio kwenye kikundi cha {{group}} waliopigia kura kauli ya {{comment_id}}wamekataa.";
s.participantHelpGroupsText =
"Unawakilishwa na mduara wa buluu na umewekwa kwenye kikundi pamoja na watu walio na mtazamo kama wako.";
s.participantHelpGroupsNotYetText =
"Picha itaonekana washiriki 7 watakapoanza kupiga kura";
s.helpWhatAreGroupsDetail =
"<p>Bofya kwenye kikundi chako au kingine ili ugundue maoni ya kila kikundi.</p><p>Maoni ya wengi ni yale yanayotumwa sana katika vikundi.</p>";

// Maandishi kuhusu kuandika kauli yako

s.helpWhatDoIDoTitle = " Nifanyeje?";
s.helpWhatDoIDo =
"Pigia kura kauli za watu wengine kwa kubofya 'ninakubali' au 'ninakataa'. Andika kauli (weka kila kauli katika wazo moja). Waalike marafiki zako kwenye mazungumzo!";;
s.writeCommentHelpText =
"Je, mtazamo au hali ulizopitia hazipo kwenye mazungumzo? Ikiwa ndivyo,</b>waweke </b> kupitia kisanduku kilicho hapa chini — </b>mmoja baada ya mwingine</b>.";
s.helpWriteListIntro = "Je, kauli nzuri inapaswa iweje?";
s.helpWriteListStandalone = "Wazo linalojitegemea";
s.helpWriteListRaisNew = "Mtazamo, hali ulizopitia au tatizo jipya";
s.helpWriteListShort = "Yenye maneno mafupi na yanayoeleweka (isizidi herufi 140)";
s.tip = "Kidokezo:";
s.commentWritingTipsHintsHeader = "Vidokezo vya kuandika kauli";
s.tipCharLimit = "Kauli hazipaswi kuzidi herufi {{char_limit}}.";
s.tipCommentsRandom =
" Kauli zinaonyeshwa kwa unasibu na hazijibu moja kwa moja kauli za watu wengine: <b> unaweka kauli inayojitegemea.<b>";
s.tipOneIdea =
"Ainisha kauli ndefu zilizo na mawazo mengi. Kufanya hivyo huwarahisishia wengine kupigia kura kauli yako.";
s.tipNoQuestions =
"Kauli hazipaswi kuwa katika muundo wa maswali. Washiriki watakubali au kukataa kauli unazoweka.";
s.commentTooLongByChars =
"Urefu wa kauli umezidi kwa herufi {{CHARACTERS_COUNT}}.";
s.submitComment = "Tuma";
s.commentSent =
"Kauli imetumwa! Ni washiriki wengine pekee ndio wataona kauli yako na kuikubali au kuikataa.";

// Kubaini hitilafu

s.commentSendFailed = "Hitilafu fulani imetokea wakati wa kutuma kauli yako.";
s.commentSendFailedEmpty =
"Hitilafu fulani imetokea wakati wa kutuma kauli yako - Kauli inafaa kujazwa.";
s.commentSendFailedTooLong =
"Hitilafu fulani imetokea wakati wa kutuma kauli yako - Kauli ni ndefu mno.";
s.commentSendFailedDuplicate =
"Hitilafu fulani imetokea wakati wa kutuma kauli yako - Kauli kama hiyo tayari imewekwa.";
s.commentErrorDuplicate = "Nakala! Kauli hiyo tayari imewekwa.";
s.commentErrorConversationClosed =
"Mazungumzo haya yamekamilika. Huwezi kutuma kauli zaidi.";
s.commentIsEmpty = "Kauli haijawekwa";
s.commentIsTooLong = "Kauli ni ndefu mno";
s.hereIsNextStatement = "Umepiga kura. Nenda juu ili uone kauli inayofuata.";

// Maandishi kuhusu kuunganisha utambulisho

s.connectFacebook = "Unganisha Facebook";
s.connectTwitter = "Unganisha Twitter";
s.connectToPostPrompt =
"Unganisha utambulisho ili utume kauli. Hatutachapisha kwenye kalenda ya matukio yako.";
s.connectToVotePrompt =
"Unganisha utambulisho ili upige kura. Hatutachapisha kwenye kalenda ya matukio yako.";
s.socialConnectPrompt =
"Ukipenda unganisha ili uone marafiki na watu unaowafuatilia kwenye mwonekano.";
s.connectFbButton = "Unganisha na Facebook";
s.connectTwButton = "Unganisha na Twitter";
s.polis_err_reg_fb_verification_email_sent =
"Tafadhali angalia barua pepe yako ili uone kiungo cha kuthibitisha, kisha urejee hapa ili uendelee.";
s.polis_err_reg_fb_verification_noemail_unverified =
"Akaunti yako ya Facebook haijathibitishwa. Tafadhali thibitisha anwani yako ya barua pepe inayotumika kwenye Facebook, kisha rudi hapa ili uendelee.";

// Maandishi ya tafsiri ya wengine yanayoonekana kwenye kadi

s.showTranslationButton = "Washa tafsiri ya wahusika wengine";
s.hideTranslationButton = "Zima Tafsiri";
s.thirdPartyTranslationDisclaimer = "Tafsiri imetolewa na mhusika mwingine";

// Maandishi kuhusu arifa na usajili pamoja na upachikaji

s.notificationsAlreadySubscribed =
"Umejisajili ili upate taarifa za mazungumzo haya.";
s.notificationsGetNotified = "Pata arifa kunapokuwa na kauli zaidi:";
s.notificationsEnterEmail =
"Weka anwani yako ya barua pepe ili uarifiwe kunapokuwa na kauli zaidi:";
s.labelEmail = "Barua pepe";
s.notificationsSubscribeButton = "Jisajili";
s.notificationsSubscribeErrorAlert = "Hitilafu fulani imetokea wakati wa kujisajili";

s.addPolisToYourSite =
"<img style='height: 20px; margin: 0px 4px;' src='{{URL}}'/>";

// Kijachini

s.privacy = "Faragha";
s.TOS = "Sheria na Masharti";

// Vipengele vya majaribio

s.importantCheckbox = "Maoni haya ni muhimu";
s.howImportantPrompt = "Je, kauli hii ni muhimu kwa kiasi gani?";
s.howImportantLow = "Cha chini";
s.howImportantMedium = "Wastani";
s.howImportantHigh = "Cha juu";
s.tipStarred = "Imetiwa alama kuwa ni muhimu.";

s.modSpam = "Taka";
s.modOffTopic = "Nje ya Mada";
s.modImportant = "Muhimu";
s.modSubmitInitialState = "Ruka (Zote zilizo hapo juu si muhimu), kauli inayofuata";
s.modSubmit = "Nimemaliza, kauli inayofuata";

s.topic_good_01 = "Je, tunafaa kufanya nini kuhusu chumba cha kuchezea tenisi ya mezani?";
s.topic_good_01_reason =
"swali la kujieleza, mtu yeyote anaweza kutoa maoni kuhusu majibu ya swali hili";
s.topic_good_02 = "Una maoni yapi kuhusu pendekezo jipya?";
s.topic_good_02_reason =
"swali la kujieleza, mtu yeyote anaweza kutoa maoni kuhusu majibu ya swali hili";
s.topic_good_03 = "Je, unaweza kufikiria kinachosababisha upungufu wa tija?";

s.topic_bad_01 = "kila mtu aripoti alivyojiandaa kwa uzinduzi";
s.topic_bad_01_reason =
"watu kutoka timu mbalimbali watapigia kura majibu, lakini huenda wasiwe na maarifa ya kutosha ili kupiga kura kwa uhakika.";
s.topic_bad_02 = "je, vipengele vyetu vya kusubirisha uzinduzi ni vipi?";
s.topic_bad_02_reason = "";

module.exports = s;

4 changes: 4 additions & 0 deletions e2e/cypress/e2e/client-participation/i18n.cy.js
Original file line number Diff line number Diff line change
Expand Up @@ -44,6 +44,10 @@ describe('Interface internationalization', function () {
checkTranslation('es', this.convoId)
})

it('translates into Swahili', function () {
checkTranslation('sw', this.convoId)
})

it('translates into Farsi', function () {
checkTranslation('fa', this.convoId)
})
Expand Down
1 change: 1 addition & 0 deletions e2e/cypress/support/helpers.js
Original file line number Diff line number Diff line change
Expand Up @@ -57,6 +57,7 @@ const locales = {
ta: 'ta',
tdt: 'tdt',
uk: 'uk',
sw: 'sw',
vi: 'vi',
'zh-CN': 'zh_Hans',
'zh-TW': 'zh_Hant',
Expand Down

0 comments on commit 5efa8fc

Please sign in to comment.